NDOA MURUA
Naam, karibuni ndugu katika blog yetu. Ili kupata mafunzo mbal mbal
ya kuweka ndoa zetu murua na maridhawa kabisa. Bila kusahau mafunzo mbal
mbal ya kutatua migogoro na migongano baina ya wanandoa. Pia blog yetu
itakupa habar mbal mbal za mahusiano katika ndoa na yaliyomo kwa kina
kabisa. Hii ni fusrsa pekee ya mwanandoa kuweka ndoa yako murua kabisa
na kufurahia ndoa yenu wewe na mwenza wako. Yote hayo usikose kutembelea
blog yetu.
Ndoamurua.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni