










*

HII NI KWA WANAUME

*
..... Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza...?
....... Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao.

*Vichekesho Kweli* : mnatarajia kuvuna wakati hamjapanda ?
Mnatarajia vielee nakati hamjaviunda...?



Hivi ni Lini umemnunulia Mkeo ivyo ambavyo akivaa (Mkiwa ndani) atapendeza ...?

Wewe ukisha nunua roba la mchele, mafuta, unga, na mkaa unahisi ndio Ushamaliza , Halafu eti unamlaumu mke hapendezi...

Kubwa zaidi unarudi kwako bila ya taarifa , Sasa ajipambe saa ngapi ?

Hembu
mume jijengee mazowea Kabla hujatoka kazini mpigie Simu mwenza wako
Mwambie *mke wangu kipenzi, my sweety, my love, mama watoto wangu* saivi
ndio natoka kazini baada ya mda Fulani ivi nitakuwa nishafika
nyumbani...

Uone ukirudi kama hujamkuta mke kesha oga , kajipamba , ananukia na anapendeza kwa ajili yako..
*Ugonjwa wakujitakia hau ambiwi pole*

Wanaume tubailike, andaa mazingira ya mke kuopendeza alafu kama ajajipamba na vitu vipo ndio uanze mlaumu...

Na: Abuu sulayfa auzayyi.
*The Team:*
*MKE MTAMU*
_Ndoa murua Group 2017_










Hakuna maoni:
Chapisha Maoni