๐ปMANENO YA HEKMA
๐ป
wamesema watu wenye hekma
๐๐ฟ Huwezi kupata kichache katika unavyovipenda isipokuwa kwa kusubiria na kuvulimia juu ya mambo mengi unayoyachukia*
๐๐ฟ mwenye kuwa na yaqiini (imani sahihi) kuwa atalipwa kutokana na matendo yake basi hawezi kufanya jambo baya.
๐๐ฟ HAKUNA KITU CHENYE KUIONDOSHA NEEMA KWA HARAKA KULIKO DHULMA*
๐๐ฟ
mwenye kudhani kuwa masiku yatamuweka salama basi ni mpungufu wa akili
na aliyejishughulisha na kukusanya mali basi nimwenye kuhuzunika na
mwenye kudanganyika na sifa za watu basi ni mtu aliefitinika
FIKIRIA KWA MAKINI HEKMA HIZO HUENDA UKAPATA KITU
by dr.shamata
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni